Misc Traditional – Tanzania National Anthem - Mungu Ibariki Afrika (Guitar)
Key
-
Auto-scroll
Speed:
1.0x
Chords
[Verse 1]
C G C Mungu ibariki Africa C F C G Wabariki viongozi wake Am C G C Hekima umoja na amani G C G C Hizi ni ngao zetu G C G C Africa na watu wake
[Chorus]
Ibariki Africa Ibariki Africa
C
Tubariki watoto wa Africa[Verse 2]
C G C Mungu ibariki Tanzania C F C G Dumisha uhuru na umoja Am C G C wake kwa waume na watoto G C G C Mungu ibariki C G C Tanzania na watu wake.
[Chorus]
Ibariki Africa Ibariki Africa
C
Tubariki watoto wa Africa