Misc Praise Songs – Mwamba Wenye Imara Rock Of Ages (Guitar)
Key
-
Auto-scroll
Speed:
1.0x
Chords
(Swahili)
[Verse 1]
G C G Mwamba Wenye Imara D G Kwako nitajificha D G Maji hayo na damu D G Yaliyotoka humu C G Hunisafi na Dhambi D G Hunifanya mshindi
[Verse 2]
G C G Kwa kazi zote pia D G Sitimizi sheria D G Nijapofanya bidi D G Nikilia na kudhii C G Hayaishi makosa D G Ndiwe wa kuokoa
[Verse 3]
G C G Sina cha mkononi D G Naja msalabani D G Nili tupu nivike, D G Ni mnyonge, nishike C G Nili mchafu naja D G Nioshe nisijafa
[Verse 4]
G C G Nikungojapo chini D G Na Kwenda kaburini D G Nipaapo mbinguni D G Na kukwona enzini C G Roho yangu na iwe D G Rahani mwako wewe