Misc Praise Songs – Deni Ya Dhambi (Guitar)

Key
-

Auto-scroll

Chords

[Verse 1]
   D
Deni yangu ya dhambi

  A       D
Yesu amelipa

 A    Bm     G
Kwake Msalabani

    D    A   D
Nilipewa uzima
[Chorus]
D             Bm
[tab]D       A
Msalabani

D  F#m G
Ilimalizikia

    D    A   D
Ni huru kabisa
[Verse 2]
      D
Bwana Yesu asema

     A         D
"Mwanangu dhaifu

  A   Bm      G
Uwezo na ushindi

   D    A      D
hupatikana kwangu"
[Chorus]
D             Bm
Deni ya dhambif

D       A
Msalabani

D  F#m G
Ilimalizikia

    D    A   D
Ni huru kabisa
[Verse 3]
      D
Bwana, kweli naona

   A          D
Nguvu zako pekee

  A  Bm     G
Huondoa ukoma

   D    A      D
Niwe kiumbe kipya
[Chorus]
D             Bm
Deni ya dhambi

D       A
Msalabani

D  F#m G
Ilimalizikia

    D    A   D
Ni huru kabisa
[Verse 4]
      D
Sina wema moyoni

   A          D
Nidai neema

  A  Bm     G
Nakubali kabisa

   D    A      D
kwa damu kusafishwa
[Chorus]
D             Bm
Deni ya dhambi

D       A
Msalabani

D  F#m G
Ilimalizikia

    D    A   D
Ni huru kabisa
[Verse 5]
      D
Hata huko Mbinguni

   A          D
Migu-uni pake

  A  Bm     G
"Yesu kanifilia,"

   D    A      D
Nitaimba milele
[Chorus]
D             Bm
Deni ya dhambi

D       A
Msalabani

D  F#m G
Ilimalizikia

    D    A   D
Ni huru kabisa